Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,723
- 57,134
Mlongo uko 🔥🔥🔥
Mlongo uko 🔥🔥🔥
Nakukaribisha sana, weka nia anza zangu ndefu hadi nataka kuzipunguzaYaan nataka niwe serious sasa, niwe na dreads na mie.
Sijaona bhana 😂😂😂Nakukaribisha sana, weka nia anza zangu ndefu hadi nataka kuzipunguza
Nimepita muda ule uleSijaona naonq jamiiforums ilikuwa down
Mlongo, mbona uko 🔥🔥🔥 sanaa.
Mtandao ulipotea 🙆🏻♂️Nimepita muda ule ule
Niko serious na shughuli za Chama 😂😂😂Mlongo, mbona uko 🔥🔥🔥 sanaa.
Sipati picha mademu wanavyo kusarandia, Alooooh. Nouma sanaa
Huna bahati na mimi😃 nishapita naked kabisaSijaona bhana 😂😂😂
Naona kwangu jamiiforums ilikuwa down
Sawa 😄Huna bahati na mimi😃 nishapita naked kabisa
Usipunguze mbona ziko vizuri sana. 😘😘Nakukaribisha sana, weka nia anza zangu ndefu hadi nataka kuzipunguza
Huko chamani hakuna mademu acha uongo wako hapa, ukute unadate na Bre, 😂😂😂😂Niko serious na shughuli za Chama 😂😂😂
Ulishawahi kunisema zamani sijui kuvaa viatu 😅😅😅Mlongo, mbona uko 🔥🔥🔥 sanaa.
Sipati picha mademu wanavyo kusarandia, Alooooh. Nouma sanaa
Wallahi nilitakaga kutest mitambo kubabakeeee 🤣🤣🤣Huko chamani hakuna mademu acha uongo wako hapa, ukute unadate na Bre, 😂😂😂😂
Mlongo, em toa ndula zako hapa, 😂😂😂
Hawa wanakula vitu vizuri kimya kimya
Naona baadhi ya Style nashindwa kubanaUsipunguze mbona ziko vizuri sana. 😘😘
Weka yako hapa tufaidikeNimekubamba mrembooo, 😘😘😘
Dreads zako ziko 🔥🔥🔥, unanitamanisha mnoo.
Airmax ninayo kesho nitavaa na kushow up, hii nayo mbaya ? 😅😅😅😅Mlongo, em toa ndula zako hapa, 😂😂😂
Sitaki kuziona, weka airmax, Air4c, Jordan, boots