Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,859
- 10,782
Onhoo kumbe! Nilijua umeniona hukuJinsia ya mtu inaonekana tuu kupitia mazungumzo tuu.
Onhoo kumbe! Nilijua umeniona hukuJinsia ya mtu inaonekana tuu kupitia mazungumzo tuu.
Ji-selfie basi 😀Onhoo kumbe! Nilijua umeniona huku
Itapendeza ukianza MkuuJi-selfie basi 😀
Itapendeza ukianza Mkuu
Ngoja nipite kidevu tu 😂Alaaah 😂
It is you time now
Chap basi simu ipo 1% ujueNgoja nipite kidevu tu 😂
😀😀🙆♀️ siyo kweliWewe picha unampa Steve Rogers tuu! Sisi wengine aah.
Hajapita shem ako?Nipo 👀
Nimekubamba mrembooo, 😘😘😘
Aririiiiiiii!! Mume ninae na ninatamba nae.Oh. Wife tulale. Penzi langu ni Mimi na wewe tu. Tukiwepo chumbani wawili tu inatosha. Sio lazima Kila mtu atujue.
😀😀 kweli umenibamba, karibu chamaniNimekubamba mrembooo, 😘😘😘
Dreads zako ziko 🔥🔥🔥, unanitamanisha mnoo.
Mlongo uko 🔥🔥🔥
Yaan nataka niwe serious sasa, niwe na dreads na mie.😀😀 kweli umenibamba, karibu chamani
Sijaona naonq jamiiforums ilikuwa down
Mlongo uko 🔥🔥🔥