Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,072
- 10,565
Nimechelewa kama dakika kadhaaaMbona aliweka sio mda hapa.
Aniwekee yangu specialš„³
Nimechelewa kama dakika kadhaaaMbona aliweka sio mda hapa.
Style gani? Si unaziachia tu zijimwage km rasta au?Naona baadhi ya Style nashindwa kubana
Niliwaambia nawatafutia humu shemejiš¹š¹nibless tuUtaweka ngapi
Yaan nataka niwe serious sasa, niwe na dreads na mie.
Nasubiriii,Mida ya mchana mapema tu
Nimekuita mara mbili haupo? Upendeleo gani tena? š
Ushakua mbabaishaj tena chat kwa pichaNiliwaambia nawatafutia humu shemejiš¹š¹nibless tu
UwiiiišKesho tena
Polee nikipita tena nitakuitaHawaniitiiiii aiseee
Kesho nayo siku
Nimesikitika sana asee kukosa uhondo.Hawa wanakula vitu vizuri kimya kimya
Ndiyo poleeUwiiiiš
Nakuja dear inbox unioneshe hizo dreads, mnanishawishi ujue, aloooh.Rasta/dreadlocks zinapendezea sana ukiwa mtu una asili ya nywele nyingi.
Maana zinajaa vizuri kama Amazon.
Cheki zangu inbox
š„³Huna baya tajiriā¤ļø
Msijariii, leo niko hapa.
Pita na wewe mbunifuš„³Huna baya tajiriā¤ļø
Mkuu umenizunguka mbona hujaniita nimuone Malaika Chica GeeHaya sawa.
Upite kama nipoPolee nikipita tena nitakuita

Nimesikitika sana asee kukosa uhondo.