The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 849
- 1,753
Oh. Wife tulale. Penzi langu ni Mimi na wewe tu. Tukiwepo chumbani wawili tu inatosha. Sio lazima Kila mtu atujue.Dear, em weka full wakuonee, nataka uwathibitishie hapa. 😘😘
Oh. Wife tulale. Penzi langu ni Mimi na wewe tu. Tukiwepo chumbani wawili tu inatosha. Sio lazima Kila mtu atujue.Dear, em weka full wakuonee, nataka uwathibitishie hapa. 😘😘
Nipo 👀Mlongo em tulia, umuone shemeji ako hapa.
😂😂😂😂 kaaah nimecheka sana, kwakweli wakina Ngosha ShikamooSiku ukiona umechoka Umiss unaenda zako kujitafutia mwili wako safi kabisa ukilud mjini utaenda Gym kuupanga sasa😃😃
Yaan 😂😂😂😂 unaniandama sana
Usimsikilize ana tuchonganisha 😄Yaan 😂😂😂😂 unaniandama sana
Si unanijua lakini 😃😃?
Hahaha et eenh 😃?Usimsikilize ana tuchonganisha 😄
Uongo umeanza lini?Sikujui.
Sasa je...Hahaha et eenh 😃?
Kauli mbiu yetu ni ile ile😀 upo tayar?Sasa je...
Asa unajua nini chica emu pita sasa mda wako huu wakujimwaga hapa 😊
Uongo umeanza lini?
Mbona mimi nilisha set terms mpaka 27 .Kauli mbiu yetu ni ile ile😀 upo tayar?
Sasa je...
Asa unajua nini chica emu pita sasa mda wako huu wakujimwaga hapa 😊
Sasa ulijuaje kama mimi ni Ke? Kuna siku ulikuwa unasema una uhakika mimi na Seran ni Ke? Ulijuaje?Mimi sisemagi uongo. Sijawahi kutana na picha yako humu.
Ondoa Shaka kabisa 😄Mkuu nacheki boli, Chica akipita nitonye mkuu. 😊
Basi acha nikalale tukutane 2027, if God Wish 🤭Mbona mimi nilisha set terms mpaka 27 .
Hii ya saizi ni kama warm up tu.
Uwe na usiku mzuri Gen ZBasi acha nikalale tukutane 2027, if God Wish 🤭
Sasa ulijuaje kama mimi ni Ke? Kuna siku ulikuwa unasema una uhakika mimi na Seran ni Ke? Ulijuaje?