Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mashahidi upande wa mshtakiwa si mmesikia?

Sitaki kesi baadaye ya kufanyiwa cross examination na mahakama..!!

Kijana kataka mwenyewe kukwapuliwa na mshangazi wa kikinga..!! 😹

Haya kachukue barua ya mtendaji wako wa mtaa uje nayo..!!
Anaziweza nginjanginja? Maana watu wa pande hizo na kule kwa kina To yeye hasa wanawake, Ke mmoja ni sawa na vijana wa gen Z 10
 
Huu unakuwaga upuuzi Pro 🤣🤣🤣
Mtu anakuwa na makasiriko na majungu utadhani nini sijui ..........

Halafu hata kama mnaachana utadhani wewe ndio uliyemtoa sealed lakini vichambo na shombo aisee 😅😅😅 mahusiano ya kibongo ni ya kifala sana hasa yakifikie hatua ya kuachana
Bana weeh, nimekoma kudate watu wafupi..!! 😹😹

Mi wabongo siwataki tena wana upuuzi mwingi..!!
Mtu unamwambia tabia hiyo siitaki, anahisi anakumudu huwezi kumpiga chini..!!

Hajui kama wengine ni dk sifuri tunarestore kila kitu, tunarudi kwenye factory settings upya..!! 😹
 
Hapo ndo unapozidi kumkera na hiyo bro 😹😹😹

Hivi kwanza inakuwaje mpaka mmeshindwa kuitikisa amri ya sita?
Udugu, huyu alikua anajifanya yeye classic sana, kisa kuwa hapo MUHAS, na mie wakati huo niko zangu kiskuli nakula msoto wa masomo, aliona sio hadhi yake.

Eti toka niwe Hapo Main campus, kaanza usumbufu, namuangalia najisemea "hiii" kwanza sahivi namuona sio type yangu, atafute rika lake mxiiiieeew.
😂😂😂😂
 
Udugu, huyu alikua anajifanya yeye classic sana, kisa kuwa hapo MUHAS, na mie wakati huo niko zangu kiskuli nakula msoto wa masomo, aliona sio hadhi yake.

Eti toka niwe Hapo Main campus, kaanza usumbufu, namuangalia najisemea "hiii" kwanza sahivi namuona sio type yangu, atafute rika lake mxiiiieeew.
😂😂😂😂
😹😹😹😹 Alikuona sio level zake?
Akuache tena akae kwa kutulia..
Hii dunia duara wahenga walishasema, muda wowote wa mwisho anakua wa kwanza..!!

Zidisha kumkera mpaka ajione mavi, hao ndo wanaume wapuuzi..!!

Sasa anatamba hapo MUHAS wakati hata ajira hajui ataipata vipi? 😹

Kwanza ajira kapata?
 
Back
Top Bottom