Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi mpaka nadolishiwa mwanamke mwingine, nabaki kucheka nawaona wote mataahira yeye na huyo chizi mwenzie..!! 😹😹😹
Mapenzi ya kibongo yanchekesha sana!!
Huu unakuwaga upuuzi Pro 🤣🤣🤣
Mtu anakuwa na makasiriko na majungu utadhani nini sijui ..........

Halafu hata kama mnaachana utadhani wewe ndio uliyemtoa sealed lakini vichambo na shombo aisee 😅😅😅 mahusiano ya kibongo ni ya kifala sana hasa yakifikie hatua ya kuachana
 
Una m date mzungu?
 
Mashahidi upande wa mshtakiwa si mmesikia?

Sitaki kesi baadaye ya kufanyiwa cross examination na mahakama..!!

Kijana kataka mwenyewe kukwapuliwa na mshangazi wa kikinga..!! 😹

Haya kachukue barua ya mtendaji wako wa mtaa uje nayo..!!
Anaziweza nginjanginja? Maana watu wa pande hizo na kule kwa kina To yeye hasa wanawake, Ke mmoja ni sawa na vijana wa gen Z 10
 
Back
Top Bottom