Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani Hivi mtu mlikua kwenye mahusiano ya kimapenzi, na mka treatiana km wapenzi, ila hamkufanikiwa kufanya ngono/sex, na mkaachana, je mnakua ma ex au nini? Mwenzenu sielewi nachoka tu

Aaaah!!
Maadui kabisa hivi mahusiano ya Kibongo unayajua wewe ? Hapo ni uadui mwanzo mwisho 🤣
 
Jamani Hivi mtu mlikua kwenye mahusiano ya kimapenzi, na mka treatiana km wapenzi, ila hamkufanikiwa kufanya ngono/sex, na mkaachana, je mnakua ma ex au nini? Mwenzenu sielewi nachoka tu

Aaaah!!
Mnakuwa watu mliowahi kufahamiana tu.
 
Jamani Hivi mtu mlikua kwenye mahusiano ya kimapenzi, na mka treatiana km wapenzi, ila hamkufanikiwa kufanya ngono/sex, na mkaachana, je mnakua ma ex au nini? Mwenzenu sielewi nachoka tu

Aaaah!!
😹😹😹 Hapo hata mi sielewi..!!

Na mi ninaye mmoja hivyo hivyo na anadai namdharau sababu hajala kitumbua.

Anataka nimpe ili penzi livunjike kweli.. 😹

Wanaume wanamind kweli kama hujampa afu unamuita ex..
 
Back
Top Bottom