Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tupake tuende kwa shemeji yenu😹😘🌸🥵
1002739889.jpg
 
😹😹😹😹 Alikuona sio level zake?
Akuache tena akae kwa kutulia..
Hii dunia duara wahenga walishasema, muda wowote wa mwisho anakua wa kwanza..!!

Zidisha kumkera mpaka ajione mavi, hao ndo wanaume wapuuzi..!!

Sasa anatamba hapo MUHAS wakati hata ajira hajui ataipata vipi? 😹

Kwanza ajira kapata?
😂😂😂😂 udugu nimechekaa mie hadi sio poa,

Yaan sahivi namuangalia, najisemea hebu anitolee ashuo, kachakaza huko, ududu utamu umeisha ndio aniletee mie makombo, khaaah

😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom