Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,031
- 10,472
Tumefurahi kwanza unapendezea kuwa mbaba 🥳Kwa hiyo mmekasirika
Tumefurahi kwanza unapendezea kuwa mbaba 🥳Kwa hiyo mmekasirika
Kama vile nimekuzidi😎
Angalia post post # 428,923 kama utakuwa unanifikia hata kwenye magoti 😂😂😂Kama vile nimekuzidi😎
Ushafika kwa shemejiTumefurahi kwanza anapendezea kuwa mbaba 🥳
Acha umbea 😹🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila .....
Jobless hatuna ratiba wala formula maalumu muda wowote tunalala na wowote tunabonda tu 😆 , mambo ya ratiba na formula hiyo ni kwenu nyinyi MaDon 😂😃😃Anasa hizo kula kuku jumanne kaka
Nimerudi weka vitu spider..!!Upo sasa
Usikubali kula makombo 😹😂😂😂😂 udugu nimechekaa mie hadi sio poa,
Yaan sahivi namuangalia, najisemea hebu anitolee ashuo, kachakaza huko, ududu utamu umeisha ndio aniletee mie makombo, khaaah
😂😂😂😂
Hapo mtoto wa mtu anaenda kupewa yote 😹Tupake tuende kwa shemeji yenu😹😘🌸🥵
View attachment 3690626
Kijana yuko vizuri, ni finishing ndo hana 😹We huoni lamomy kamsifu😘
Watu wa humu mna roho mbaya sana na mimi, kila nikikaribia kupendwa lazima mje kutisha watu..!!😂😂😂 ataweza kumudu presha ? Maana kwa kina Lamomy kule ni Ma-Super Women tu
Waache tuWatu wa humu mna roho mbaya sana na mimi, kila nikikaribia kupendwa lazima mje kutisha watu..!!
Mnataka nisiolewe? 😹😹
Finishing utafanya lamamaKijana yuko vizuri, ni finishing ndo hana 😹
OverNimerudi weka vitu spider..!!
🙆🏻♂️🙆🏻♂️🙆🏻♂️🙆🏻♂️ mbona umeni-quote Mimi ?Watu wa humu mna roho mbaya sana na mimi, kila nikikaribia kupendwa lazima mje kutisha watu..!!
Mnataka nisiolewe? 😹😹
😹😹😹😹Kijana yuko vizuri, ni finishing ndo hana 😹
😹😹unamaanisha nalingana na ndoooAngalia post post # 428,923 kama utakuwa unanifikia hata kwenye magoti 😂😂😂
Eeeeh nalala huku huku kwa shem wenu😘Ushafika kwa shemeji
Mambo si hayo ariririiiiiiiiiiiiii
Jitahidi kabla Chivundu hajaku-overtake, maana jana katangaza kununua kidani cha tanzanite 😹😹😹