Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 41,865
- 100,815
😹😹😹😹 Eti ungemsarandia khaaaaa..!!Uduguu, yule jamaa ni vitu vyangu, sema sahivi nimezeeka, ingekua enzi zangu ningemsarandia mie.
😂😂😂😂
Sasa hivi umezeeka nini?
Em The ghost writer njoo hapa
😹😹😹😹 Eti ungemsarandia khaaaaa..!!Uduguu, yule jamaa ni vitu vyangu, sema sahivi nimezeeka, ingekua enzi zangu ningemsarandia mie.
😂😂😂😂
Umeanza na midundo yako 😹
Tupia pic yako hatutaki hizo ndula.!!
Na akuje tu hapa kwa kweli, 😂😂😂
Mlongo, uko so 🔥🔥🔥
Hapa wachawi wengi wataiba nyota sura no 🤣🤣🤣Mlongo, uko so 🔥🔥🔥
Huko ni kututengaWatuache tulio single, wenye mahusiano yao wapite hatutaki shengesha la malalamiko ya kuibiwa bwana hapa..!! 😹
Enheee jamani hatari lakini salama 😌🥰
Hatari ipo jukwaa la siasa tu hapa ni salamaEnheee jamani hatari lakini salama 😌🥰
Hebu pita chapEnheee jamani hatari lakini salama 😌🥰
Hatutaki zipigwe watu tuna amani kila siku sherehe 💃🏻💃🏻😂Watuache tulio single, wenye mahusiano yao wapite hatutaki shengesha la malalamiko ya kuibiwa bwana hapa..!! 😹
Zamu yako!Hebu pita chap
Nilikatiza chapZamu yako!
😂😂😂 kwa kwelii.Hapa wachawi wengi wataiba nyota sura no 🤣🤣🤣
Anasave picha sjui apelek wapiHapa wachawi wengi wataiba nyota sura no 🤣🤣🤣
MarafikiJamani Hivi mtu mlikua kwenye mahusiano ya kimapenzi, na mka treatiana km wapenzi, ila hamkufanikiwa kufanya ngono/sex, na mkaachana, je mnakua ma ex au nini? Mwenzenu sielewi nachoka tu
Aaaah!!
Aaah kumbe?Marafiki
Nilikwambia jana ilikua ya mwisho maa karibu kwenye uzi tukamjadili NyerereAmeeennn
Haya chap chap pita tumuenzi babu Julius 😹
Tusamehe mahi🤓Nilivyolala ndo mkapita 😹kimya kimya
Baadaye utaweka tena, pita sasa hivi uzi u shine na rangi ya umanga manga..!! 😍Si baadae jamanii uduguu, now macho mengi. 😂😂😂