cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 121,730
- 200,191
Wewe umefika 6Ft? Kwa ile picha uliyowekaga hapa umevaa kanzu, umesimama pembeni ya sofa? Sio mrefu, ni mtu wa wastani, huo urefu umepata mda gani? Wee spider? Tatatibu mambo yako.6ft wabongo wachache labda wasukuma na wakurya na waarusha
😂😂😂😂