Nina udhaifu nikumuona mtu anadhalilika kwa ajili yangu naamuia sana hata ikiwa Mimi ndio nimechozwa na nimelipa kisasi
Mimi ndiye nilikuwa mtu wa mwanzo kuziwahi , nikahifadhi kwenye safe box , nikajisemea sababu Jf vita nje nje hii nitaitumia kama Nyuklia nikiona mwamba kavuka mipaka katika kunidhalilisha Mimi au mtu mwingine , text zilikuwa ni za kumvua nguo kabisa za kushusha heshima from Hero to Zero.
Huyo mwamba Selfika alikuwepo sana kwenye maugomvi ya humu , ndio maana nikazitunza hizo risiti ili akijichanganya tu kuMisBehave nimripue .