Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jambo lipo ipo siku wadada wanaokaa kimya kuwanusuru hawa mababa na makaka wakiamua kulipuka patakua hapatoshi humu
Nilihisi tu humu kuna jambo maana sio kwa mipasho ninayoiona..

Hao wadada wanalea ujinga wa nn???
hebu wajitokeze watoe yanayoendelea maana unakuta kwa haya mafumbo huko piemuni kuna mtu jambo kubwa tu litakuwa linasambazwa na mtu atakuwa anadhalilishwa vibaya mno.
 
Nimesikia nimetukanwa , sijui kwa nini mods walifuta😅
 
Nilihisi tu humu kuna jambo maana sio kwa mipasho ninayoiona..

Hao wadada wanalea ujinga wa nn???
hebu wajitokeze watoe yanayoendelea maana unakuta kwa haya mafumbo huko piemuni kuna mtu jambo kubwa tu litakuwa linasambazwa na mtu atakuwa anadhalilishwa vibaya mno.
Watakuja tuu soon...wala usihofu sio kwamba wao hawana risiti za wanaume humu za kuwapiga za uso..na sura zao kama mbuzi wa mnadani...
 
Screenshot_20260622-132749~2.jpg
 
Back
Top Bottom