min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,725
- 172,486
Nimepokea ushauri, ila hapo kwenye kumtaka mtu aje aweke ushahidi hapa, tuchambue kwa undaniSikupangii lakini ukweli ndo huo.
Acha kupigana vijembe na wadada wewe wa kiume..!!
Nimepokea ushauri, ila hapo kwenye kumtaka mtu aje aweke ushahidi hapa, tuchambue kwa undaniSikupangii lakini ukweli ndo huo.
Acha kupigana vijembe na wadada wewe wa kiume..!!
Ila sasa niwe nimepata umbea vizuri raha ya shengesha uwe na clue, usipokuwa na taarifa utashindwa kuchamba 😂😂😂Unapenda shengesha? 😹😹
Subiri kuna siku nitakutag wakianza humu..!!
😹😹😹 Nyie ndo mnafanya tuanze kuambiwa tunajifungulia nyuzi humu..!!Ndio Mimi , maisha yanabadilika nimeChabge username kipindi kile nilikuwa natumia username "Invisible Mafia " Mimi si a masuala ya vinyogo sina ugomvi wangu unaisha haraka sana 😂
Nilikuwa nazawa nitoke road niandamane nikafikiria hivi nikipigwa Shaba na kufa kizembe Mwanamke mrembo kama Lamomy nitamuona wapi ?
Mimi sio chawa wala sijavuta bangi I'm The Mafia boss with high IQ kwa akili zangu timamu nasema hakuna mrembo Jf kuzidi Lamomy nimetumia vigezo vingi na nimeangalia kwenye spiritual gallery mpaka kufikia kusema haya .
Naomba cocastic unisaidie kumuelezea Lamomy jinsi ninavyomkubali najuanin mtata na sio jambo rahisi kuelewa maana Warembo wakali ndivyo walivyo.
Mishale nitaanza kuichambua sifa moja Moja za mrembo wetu wa Jf Miss...
- Gengis Khan wa Jf
- hakuna mwanamke mrembo mrembo kuzidi lamomy tokea jf ianzishwe
- Replies: 121
- Forum: JF Chit-Chats
Pita bana wadada hatuna tabia hiyo. Shida ni ninyi wana chromosomes XY.Leo nataka kupita nekedi liwalo na liwe. Hata kama nikija kuchambwa humu na akina dada potelea mbali 😂😂😂
Kuna mkaa humu simtaji alikuwa anamnanga mdada Fulani kwenye Uzi mmoja aliuanzisha huyo mdada tena kwa makombora makali,Sema nini….. Mi akili za wanaume baadhi huwa zinanichekesha sana.
Yall normalize bullying men, mtu akikujia lala nae kiulalo ulalo, Iweje mtu akubully umwache atambe? Wadada mnaowanyamazia wanaume ambao mna bifu nao mnawapa nguvu.
Mkiwa mnachat nao piemu wenzenu wanakusanya mafaili ninyi mna play safe, please play dirt kusanya risiti na wewe akikumwaga unamwaga na yeye akalilie kwao.
😂😂😂😂
SIO YA KWELI!Mama Mchungaji walimzushia kashfa mbaya sana. Halafu mzushaji mwenyewe sasa sura yake ikiwekwa hapa sijui itakuwaje maana mhh! Labda ni hizo hela zake mabinti wanampapatikia ila Mama Mchungaji hakustahili kashfa ile labda kama ni ya kweli maana huwezi jua....
Hamna kasha elewa atarudi kuwa normal..!!Bwashee mkwamaji basi tu, binafsi nimemgaya.
Nitapita kwenye saa sita hivi 😂😂😂Pita bana wadada hatuna tabia hiyo. Shida ni ninyi wana chromosomes XY.
Siku ingine usifute mpe Coca mtunza Masjala 😀😀Kuna mkaa humu simtaji alikuwa anamnanga mdada Fulani kwenye Uzi mmoja aliuanzisha huyo mdada tena kwa makombora makali,
Huyo Dada uvumulivu ukamshinda akamwaga risiti za mwamba akiwa Pm analialia zamani , ilikuwa aibu nzito mods wakafuta huo Uzi na huyo Dada akala ban mpk Leo hayupo.
Nilifanikiw kudowload hizo risiti nikaweka akiba jamaa akileta shari niuze kwa maadui au akinichokoza nimlipua akiambie Jf ila nikaingiwa na huruma coz mwamba sio mtu mshari hapa Jf ndio basi alipitiwa nikaamua nizifute tu Shetani asije nipitia siku akinichokoza nikamdhalilisha
Mbona sikuona hiyo noma au nilitoka? 😹Nasikia umefutwa baada ya baadhi ya members kuleta noma ila kabla ya hapo ulikua live tu
Wakati naandika huo uzi Mimi mwenyewe nilikuwa nacheka 😂 😆😹😹😹 Nyie ndo mnafanya tuanze kuambiwa tunajifungulia nyuzi humu..!!
Nyuzi za nakupenda Lamomy zilikua nyingi mpaka @tlaatah naye akaibuka vichakani huko eti nimempenda huyu mama mtumishi wa kuitwa lamomy 😹😹😹
Mlijua kunikomesha, natukanana mpaka nyuzi zingine zinafungwa na ban napewa juu..!!
Nimekwambia au kuna mdada ulimtaka akakukataa?Nimepokea ushauri, ila hapo kwenye kumtaka mtu aje aweke ushahidi hapa, tuchambue kwa undani
Mwenyewe hata sikuona , nilipatiwa maelezo tu sababu za kuufuta😆Mbona sikuona hiyo noma au nilitoka? 😹
Hahaha , kwanini unahisi ni muhimu mimi kumtaka mdada humu?Nimekwambia au kuna mdada ulimtaka akakukataa?
Mama mchungaji bana mimi alikua ananisanua kuhusu id moja hivi jukwaani..!!Ila sasa niwe nimepata umbea vizuri raha ya shengesha uwe na clue, usipokuwa na taarifa utashindwa kuchamba 😂😂😂
Siku ile nimemwambia mama Mchungaji tuongee ili tukinukishe, masikini dada wa watu akasema tuachane naye (Ndio ujue wanawake wanawaheshimu wanaume, Ila wanaume akipata upenyo wowote hata wa uongo anakudhalilisha vibaya.
Ushapita?Leo nataka kupita nekedi liwalo na liwe. Hata kama nikija kuchambwa humu na akina dada potelea mbali 😂😂😂
Nasikia ana jicho chongo 😹😹😹Mama Mchungaji walimzushia kashfa mbaya sana. Halafu mzushaji mwenyewe sasa sura yake ikiwekwa hapa sijui itakuwaje maana mhh! Labda ni hizo hela zake mabinti wanampapatikia ila Mama Mchungaji hakustahili kashfa ile labda kama ni ya kweli maana huwezi jua....
Naomba hizo risiti for future use puliiizzzz 😹Kuna mkaa humu simtaji alikuwa anamnanga mdada Fulani kwenye Uzi mmoja aliuanzisha huyo mdada tena kwa makombora makali,
Huyo Dada uvumulivu ukamshinda akamwaga risiti za mwamba akiwa Pm analialia zamani , ilikuwa aibu nzito mods wakafuta huo Uzi na huyo Dada akala ban mpk Leo hayupo.
Nilifanikiw kudowload hizo risiti nikaweka akiba jamaa akileta shari niuze kwa maadui au akinichokoza nimlipua akiambie Jf ila nikaingiwa na huruma coz mwamba sio mtu mshari hapa Jf ndio basi alipitiwa nikaamua nizifute tu Shetani asije nipitia siku akinichokoza nikamdhalilisha
Nina udhaifu nikumuona mtu anadhalilika kwa ajili yangu naamuia sana hata ikiwa Mimi ndio nimechozwa na nimelipa kisasiSiku ingine usifute mpe Coca mtunza Masjala 😀😀