Acha inyeshe, za wapendanao zikitimia watatajana tu.Mi nataka watu watajane majina ila nichague timu ya kuingilia.
Tumewachoka bwana, ni kama mnatakaga wanawake wasikaage na amani.
Wanawaogopa 😹Sema nini….. Mi akili za wanaume baadhi huwa zinanichekesha sana.
Yall normalize bullying men, mtu akikujia lala nae kiulalo ulalo, Iweje mtu akubully umwache atambe? Wadada mnaowanyamazia wanaume ambao mna bifu nao mnawapa nguvu.
Mkiwa mnachat nao piemu wenzenu wanakusanya mafaili ninyi mna play safe, please play dirt kusanya risiti na wewe akikumwaga unamwaga na yeye akalilie kwao.
😂😂😂😂
Ndugu zako wako selfika?Hahaha sijaponda na nyuzi naziweka chitchat , na wapo wadada mpaka ndugu zangu humu , hivyo ni hisia zako tu.
Kumbe wewe?Mimi nimekoma kushindana na Wanawake humu nakumbuka Kuna siku nilijichanganya wewe Dada ulinichamba vibaya mno na kunitukana .
Kwa hasira nikakuanziashia Uzi wa MaLove kuwa nakupenda na nikaweka challenge kuwa hakuna mrembo Jf zaidi yako kama yupo aje , ukaja kwenye huo Uzi tena kunichamba na kunitukana mpaka nikawa nacheka mwenyewe nikaamua nikuache tu 😂 😆 😂
Sema nimegundua wanawake wana heshima sana masikini 😩😩😩Wanawaogopa 😹
Mi kwakweli tunachambana vizuri..!!
Kwanza wasiwape pic zao full na wahakikishe na wao wanakua na risiti za midyudyu yao..!
Ili wakivujisha na wao wanavujisha.
Adui unayemmudu usimuachie Mungu.
Naunga mkono hoja 😂😂😂📌📌📌Wanawaogopa 😹
Mi kwakweli tunachambana vizuri..!!
Kwanza wasiwape pic zao full na wahakikishe na wao wanakua na risiti za midyudyu yao..!
Ili wakivujisha na wao wanavujisha.
Adui unayemmudu usimuachie Mungu.
McheleTan za mpunga au mchele?
Hahah sasa hapo unanipangia namna ya behave 🤣 mimi nitaposti ninavyojisikia tu kama mods hawana shida ambae hapendi kuona kitufe cha ignore kipo liveNdugu zako wako selfika?
Kwanini usiwachambe kwenye group lenu la familia?
Min wewe mshkaji wangu kwa hili kubali umekosea..!
Inategemea na aina ya mbegu na msimu utakavyokuwa mzuriMchele
Min mwanangu kabisa 😹😹Binafsi natamani uwepo ugomvi wa wadada na wakaka niingilie shida ni mafumbo tu hatujui nani ana ugomvi na nani .
Lamomy mwenyewe kanichambia min me ila lamomy hana shida nae kaona tu amsuuze.
Nitacheka mwenyewe tu 😆😆 nikichoka na log outMin mwanangu kabisa 😹😹
Nimeona hii style yake inamuharibia hata wewe utaogopa kucheka naye humu..!!
Una shida ndiomana umefutwa au bado upo twende kule?Hahaha , sioni tatizo, mods wangeona shida wangeufutilia mbali na wangenipiga ban , kama wameacha wameona hauna shida kabisa unafaa kwa matumizi
😹😹😹 Mwambie akijua kupokea na kutoa ajue..!!Yeah! vingine vyote anapokea rijali yule .
Nasikia umefutwa baada ya baadhi ya members kuleta noma ila kabla ya hapo ulikua live tuUna shida ndiomana umefutwa au bado upo twende kule?
Naam si wote.sio wote...
Unapenda shengesha? 😹😹Sema nimegundua wanawake wana heshima sana masikini 😩😩😩
Hata kama hawana wadaunilodi vidudu vya gugo, vita ni vita muraaa 😂
Bwashee mkwamaji basi tu, binafsi nimemgaya.Min mwanangu kabisa 😹😹
Nimeona hii style yake inamuharibia hata wewe utaogopa kucheka naye humu..!!
Ndio Mimi , maisha yanabadilika nimeChabge username kipindi kile nilikuwa natumia username "Invisible Mafia " Mimi si a masuala ya vinyogo sina ugomvi wangu unaisha haraka sana 😂Kumbe wewe?
Mpuuzi 😹😹
Sikupangii lakini ukweli ndo huo.Hahah sasa hapo unanipangia namna ya behave 🤣 mimi nitaposti ninavyojisikia tu kama mods hawana shida ambae hapendi kuona kitufe cha ignore kipo live