MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,522
- 13,806
Ntakutoa kwenye iko cheo acha kiereere ππTayana kaaga na yake wala sio mambo ya humu..!!
Mimi katibu wake najua hivyo sipendi kuona mnamuongolea na kumfanya topic..!! πΉ
πΉπΉπΉNi babu miga na Mzab Zab walimla mande hapo Morena sijui ni binti gani yule, nimesahau ID, πππ
Kumbe wee humu uko kitamboo? Au ni Wige wewe? Lol
πΉπΉπΉ Cheo ninacho na natamba nacho..!!Ntakutoa kwenye iko cheo acha kiereere ππ
Hapo sawaππ½π€©
Hiki kitoto chako? KizuriiπView attachment 3678151
Tuwatakie siku njema kutoka pande izi za mabonde kuinama
Kumchanganya anapokua ametulizana na kumkondesha tuKama yapi?
Mahangaiko na mahangaiko! Habari ziwafikieeπMshakinukisha tayari
Ndo mana mimi nashinda ziwaniMahangaiko na mahangaiko! Habari ziwafikieeπ
ππππΉπΉπΉ
Weeh kumbe na mande aka mtungo ulikuwepo?
Mzabzab si ana kibamia yule anasemaga mwenyewe..!! πΉ
Babu miga aje athibitishe..!!
Naandika summons kwa miga na mzabzab chap waletwe mahakamani kujibu tuhuma za ubakaji..!! Mande ni ubakaji
Niletee Kiko basi mjukuu nikuwekee hiyo movie π€ππ3 idiots tangu utoto mpaka kesho nairudia hii movie, leo mzee umepost kitu cha maana sana tangu uanze kupostπ
Ni movie nzuri kwa kweli, na Ile slogan yao "All is well" imekaa poa sanaMovie yangu pendwa ya muda wote
Watu mnatambo kumbe humu?View attachment 3677882
Friday...
Unaufuatiliaga kama season ππSometimes Selfika kuna ujinga mwingi sanaπππ€£