Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Unabadilisha viwanja tu…!!
Sasa hivi huko oysterbay..

Sisi wa bonyokwa mwisho wetu kkoo huko kwa mafogo o-bay hatutakiwi 😹

Tayana atauzwa kweli si umemuona alivyo kisu..!!
Masikini ndo tunahama hama hatuna makazi maalum 😂😂

Tayana saiv mtamsikia tu kwenye runinga 🏃🏽‍♂️
 
Mambo niyapendayo 😍😍

Watu mna pesa, tupeni na sisi michongo basi tutoboe 😹😹

Huyu kantry mchawi sana!
Yani kanikatili kuniweka kwenye dollar niogelee..!! ALAANIWE SHENZY ZAKE 😹😹
We tajiri tulia bhana achana nasisi masikini 🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…