Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa huu ulaji kuolewa sidhani mkuu. Labda huyo mubaba kama anapenda wanawake wanaokula kama 🐷 😆
Hilo fupa la kuku hujaliona ukaliongelea, wewe binu binu kama breki ya ndege kuona ulaji. Waswahili wivu utawaua.

Mi sitaki ndoa olewa wewe..!! 😹😹😹
 
  • Kicheko
Reactions: ---
Hilo fupa la kuku hujaliona ukaliongelea, wewe binu binu kama breki ya ndege kuona ulaji. Waswahili wivu utawaua.
Haya fupa nimeona ila sikutaka kuliongelea kwasababu nimeona kama utajiskia vibaya sana nikisema unakula kama fisi. Halafu sio kwamba nina wivu ni vile unatia huruma🥸
 
Pole, haya kunya boga kuonyesha umekasirika sana..!! 😹
 
  • Kicheko
Reactions: ---
Back
Top Bottom