Selfika na JF: Snap it. Show it

Huna baya tajiri una mpaka muda wa kwenda Gym πŸ™ŒπŸ½

Mimi sikupata kabisa usingizi kwa sababu ya mawazo ya kujikwamua na umasikini 🀣
😹😹😹 Mi nisipofanya mazoezi nachoka..!!

Wewe tajiri unayeshinda Amell unakula bata unataka pesa gani tena??

Sisi mawinga ndo kuwaza tunajikwamua vipi?

Nwei, tayana umeonana naye kwanza? 😹
Amekuja jana kuaga, we ndo umemkataza? 😹😹
 
Na huu umasikini wangu nisipokula bata si nitawahi kufa kwa stress. We badae njo unichukue apa oysterbay na iyo Benz yako bhana nitoe ushamba au ndo hupakii makapuku?🀣

Tayana nilimpiga stop kuingia humu tena country asijemuuza kwa mafogo πŸƒπŸ½β€
 
😹😹😹 Unabadilisha viwanja tu…!!
Sasa hivi huko oysterbay..

Sisi wa bonyokwa mwisho wetu kkoo huko kwa mafogo o-bay hatutakiwi 😹

Tayana atauzwa kweli si umemuona alivyo kisu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…