Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Christine_1 hongereni sana asee, uchumi huu nyie vijana kumiliki pesa zote hizi si masihara

MFALME WETU pesa unayo, ila angalia usije mtesa dada yetu Tayana asee ni mpole na mstaarabu sana
Duh
Umepambana mpk nimekuja 😃😃
Notification nyingi sijui nij8bu ipi niache ipi...
Anyway
Nimekuja kuwaaga hata hivyo....
Kuondoka kimyakimya sio poa
Nawapenda sana
Ngoja tuangalie maisha mengine ss
 
😹😹😹
Nipo hoi nimemaliza kupika, aisee kama kupika ndo kuwa wife material basi mi mniite msimbe tu..!!
 

Attachments

  • IMG_6983.jpeg
    IMG_6983.jpeg
    454 KB · Views: 1
  • IMG_6985.jpeg
    IMG_6985.jpeg
    487.7 KB · Views: 1
Duh
Umepambana mpk nimekuja 😃😃
Notification nyingi sijui nij8bu ipi niache ipi...
Anyway
Nimekuja kuwaaga hata hivyo....
Kuondoka kimyakimya sio poa
Nawapenda sana
Ngoja tuangalie maisha mengine ss
STOP ✋
Kabla hujaondoka nitajie yule mpuuzi waliyenikalia kikao na babu miga..!!
 
Back
Top Bottom