Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,345
- 17,658
Duuuh siyo kwa huo mkwara mkuuuu hadi pm.Ohhhhh noooo dah nimechekaaa sana
Duuuh siyo kwa huo mkwara mkuuuu hadi pm.Ohhhhh noooo dah nimechekaaa sana
Umepata wapi nguvu ya kucheka parokoOhhhhh noooo dah nimechekaaa sana

yaani leo hii naitwa babe na wengine nimeruhusu wanifahamu kabisa daah hata mie siamini..
Natamani nikuamini lakini hapana!!
Wewe ulokuwa mbogo leo unaitwa babe?! Tuuachie muda uamue kwa kweli
yaani leo hii naitwa babe na wengine nimeruhusu wanifahamu kabisa daah hata mie siamini..
Sent using Jamii Forums mobile app

😄😄😄Naona kaamua kuja kujifariji na wanamember wa humu sio mbaya
Natamani nikuamini lakini hapana!!
Wewe ulokuwa mbogo leo unaitwa babe?! Tuuachie muda uamue kwa kweli

kabisa,, mwee ila kama kuna watu wanajifunza kwangu basi nawaonea huruma.. 
hata mimi sijui wanajifunza nini
Yes ni mzazi, maana wanaokuzunguka wanajifunza kwako.
cha story za uongo na ukweli,, looh na kunenepa nanenepa siku hizi mtoto wa watu maana daah..
Sent using Jamii Forums mobile app

kabisa,, mwee ila kama kuna watu wanajifunza kwangu basi nawaonea huruma..
hata mimi sijui wanajifunza nini
Sent using Jamii Forums mobile app

na kweli ukikumbuka kuwa kuna wachache wasio na hatia unajikuta unawatetea wote tu
Nawateteaga sababu ya watu kama Watu8 ujue!!