Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi leo umepuliza cha wapi eti?? Sasa si bora hata uitwe ng'ombe mama,, watu tumetukanwa matusi ya haja kama matusi yangekuwa yanatoboa wengine saa hii miili yetu ingekuwa kama machujio..

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijavuta hata Mirinda nyeusi mimi, Meona tuu ndoa inavyokandiwa, wanawake wanavyokejeliwa nikachokaa!
 
First ignore
Second hit where it hurt most...!!! Bila hivyo hatutaheshimiana.... Uhuru wa utambulisho bandia lazima uheshimiwe na usitumiwe vibaya na wasiojitambua

Jr[emoji769]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Neno hilo mkuu, sema ndugu yangu wewe mpaka mtu akukasirishe kweli atakua amezidi maana huwa hunaga hasira za haraka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema na wewe kuna kipindi unawateteaga mno khaa,, sijui wanakuhonga nini.. [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijavuta hata Mirinda nyeusi mimi, Meona tuu ndoa inavyokandiwa, wanawake wanavyokejeliwa nikachokaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali inafika uvumilivu unaisha.. Utu unakutoka... Maana inakera sana... Siku hizi sibishani na mtu.. Nambanika kimya kimya halafu namwendea PM namwambia wazi hiyo kazi ni mimi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Neno hilo mkuu, sema ndugu yangu wewe mpaka mtu akukasirishe kweli atakua amezidi maana huwa hunaga hasira za haraka

Jr[emoji769]
 
Kuna mahali inafika uvumilivu unaisha.. Utu unakutoka... Maana inakera sana... Siku hizi sibishani na mtu.. Nambanika kimya kimya halafu namwendea PM namwambia wazi hiyo kazi ni mimi

Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ohhhhh noooo dah nimechekaaa sana
 
Back
Top Bottom