Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukashindwa kuchagua upande 😹😹

Sema nilikuelewa bana chino.!!
Mimi hua sio snitch! Hua nalinda kile kilichopo baina yetu.( Kama hutujawahi vunjiana heshima why nisikilize watu wanasema nini. Ndiomana nikasema huyu Mahondaw dunia nzima ya jf imemgeuka ila Mimi naheshimu kile kilichopo baina yetu same apply to you siwezi kukugeuka.

Ukiwa mwanaume na hauna msimamo jua Kuna shida.
 
Habari za mashengesha mie no,Huwa nawa enjoy tu😁

Vocha alikuwa tajeer humu anagawa vocha,,si unajua raia wakamfanyia figisu mara chambo maneno tele,,wanaume wenzie walikuwa wanamuonea wivuπŸ™Œ
Mlongoo, mbona km wewe sio mpya hapa ndani, em nisanue kwa code, ni nani hapo zamani?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Christine_1 acha kucheka Cheka Nitajie huyo mtu waliyechat na national na yeye akaleta maneno ya uongo kwako na kukuulizia taarifa zangu..!! Nipo serious ujue..

Nataka niwajibu wote kwa pamoja hapa hapa sitaki private mimi..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dunia nzima ya jf except Smart. Amepambana sana vita na anaendelea kupambana juu yangu!!
 
Para ya mwisho chino 😍😍

Una man hood hongera sana..!!
Mwanaume misimamo 🫑
 
Cantry bila kunitaja huwa hujamaliza wala kuridhika?
Kwanza hujambooo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ khaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…