Selfika na JF: Snap it. Show it

Brand
 
Mjanja janja sana sasa hivi Lamomy wakati zamani alikua anaingia live bila chenga.

Ana live yake mmoja katoa ishara ya dole la kati; sasa hivi sijui anafeli wapi kuingia live mnywani.
Amekua mwoga sana sikuhizi sijui kwanini!!
Mwambie Nimemiss kuona dimpoz na location zaukwee!
 
Zama zile mambo yalikua live sasa ivi kina Seran hawataki tulione. Wakati kipinde kile mnywani wewe na mbantu mlikua mnayaachia live! Si ya kwenu Allah kajalia.
Kwahiyo nyie kazi yenu kuangalia ya wenzenu tu ya kwenu aanhh😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…