Selfika na JF: Snap it. Show it

Napenda sana nizae watoto wa kiume kuliko wa kike lakini nikiwaza kwamba na wao wanaweza kuja kuwa mafurushi daah nachoka moyo na ubongo
sijui tuwalee vipi hawa watoto
Na hiyo ndio shida yao, sijui kwanini wanakimbiliaga matusi mazito mazito

Sijui tunakosea wapi kwenye malezi ya hawa watoto wetu wa kiume walah!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Extrovert na Lizarazu ndiyo walikuwa my worst enemies pamoja na Relief Mirzska lakini siku hizi eti Extrovert amekuwa my baby,, Lizarazu kapotea leo nilikuwa nimekaa sehemu nakula nikamkumbuka kabisa yaani maana naye kabla hajapotea tulishaanza kupatana na kuwa marafiki.. Relief Mirzska ndiyo kabisa tumekuwa mabest siku hizi tunaongea habari za kusafiri tu
Hahahahahaha
Huyo ndo alikuwa bega kwa bega na wewe!!!
Saivi mshakuwa mabebe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndo maisha ya JF yo worst enemy anakuwa yo best friend ever!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…