Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi unawezaje??🤔

Hebu pita kwanza tunaongelea sana mate!!
Wenzangu wanashindwa hadi wanakuanzishia uzi hujijui tu wewe ni pisi ya maana

Huku kwetu isimikinyi vumbi jingi picha hazitoki vizuri
 
Hawaiombi hivyo..!!
Kwa taarifa yako coca ni pisi ya kwendea hana hata hizo ndevu unazosema. Acha chuki zako..!!

Selfika yako tuone 😹
Huyu kipigo nilichompa hadi kukimbia I'd yake kwa muda hawezi kupona kamwee.
Msamehee, anataka ududu, ataamua wa ngozi au plastic, yeye tuu.
😂😂😂
 
Kwanini zinishinde vin?
Tusije tukaaanza kukupepeea na feni 😄😄😁😄 mimi day one nilipiga nikahisi kama na paa vile baada ya kupelekwa nyumbani kila nikifungua mlango nashindwa nikalala kibarazani baadae ndio akili inarudi ila nilipigwa na hangover moja matata mno
 
Aanh wapi hiki kichwa kingine, yani mpaka nazichanganya na siwehuki!! Tena umenikumbusha nna kajoint kamoja hapa kwenye pochi yangu, kana siku ngoja weekend nikanamna gani! 😎
 
Why always u
Kabisa unaniuliza huo utoto mimi? Kwani huoni wengine wanaanzishiwa pia, si mtu anatafuta attention kupitia mtu mwingine and thats it hakuna cha maana hapo!
Saiz tunawasha vibatali labda kesho mida ya saa 6 ukungu ukitoweka
Hahaha vibatari vilienda na el nino ya miaka ile! Acha kutuchota😃
Tupiamo wewe ulieko daslama tukuone
Mbona nmetuma mara kibao tu ila unanikataa! Unalazimisha niwe pisi uliyonayo kichwani🤣
 
Nina nokia ya tochi sasa hivi mshikaji wangu, siwezi kula selfie.🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…