cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 118,021
- 192,671
Umeanzaa, ๐๐๐Wengine mbona mnatupia tukiwa hatupo mnaogopa nini na tunawajua bila kuweka emoji..!!! ๐น๐น๐น
Em jiamininini basi eeehh..!! ๐น
Umeanzaa, ๐๐๐Wengine mbona mnatupia tukiwa hatupo mnaogopa nini na tunawajua bila kuweka emoji..!!! ๐น๐น๐น
Em jiamininini basi eeehh..!! ๐น
Bora umefika, haya weka vitru muda ndo huu..!! ๐น๐น๐น๐๐๐ uduguuu.
๐น๐น๐น Breakfast chai ya saa tatu..!!Umeanzaa, ๐๐๐
Tayariii uduguu akeee ๐๐๐Bora umefika, haya weka vitru muda ndo huu..!! ๐น๐น๐น
๐ณ๐ณ๐ณLast tuezz! ๐๐View attachment 3672262
Mda wa kazii huu uduguu, em subirii baadae.๐น๐น๐น Breakfast chai ya saa tatu..!!
Wanatuchosha bana weeeh, mi watu tunaijua vyedi inatumalizia miti tu..!!
Nyoko nyoko nyingi oohh.! Sisi habari zetu hamuwezi kuzipata mpaka tuamue kuwapa..!! Mtsiewwww kwa habari gani??
Sisi habari zao tunazipata jumla jumla haya waje tuwape habari zao motomoto mubasharaaaaa..!! ๐น๐น๐น
Uwe muuzaji JF hafu tusikukamate thubutuuuuuu..!! Wambea oyeeeeee
Udugu uzi umetulia na umeutendea haki UMEPOAAAAAAAA ๐ปLast tuezz! ๐๐View attachment 3672262
Uduguu sifa sasa, mie naenda zangu kwenye nyuzi za siasa, nikakwaruane na machawa wa veggies.๐ณ๐ณ๐ณ
Nyie uduguuu hii ndo picha kali ya mwaka huu selfika iwekewe lamination na ibandikwe kwenye uzi..!! ๐๐๐๐๐๐๐
Hii rangi kaliii mpaka sio pouwaaa..!!
Mungu kakuumba na kakupa Uzuri juu.
Baba tramu ana haki ya kuchanganyikiwa sio kwa chuma hiki..!! ๐๐๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
Nimeona alooo!Tayariii uduguu akeee ๐๐๐
๐น๐น๐น Nacheka kama mazuri..!!Mda wa kazii huu uduguu, em subirii baadae.
๐๐๐
Aaah wapiii, ๐๐๐Nimeona alooo!
Uduguu una balaa sio kwa kuwaka huko..!! ๐ฅฐ
๐๐๐ unacheka nini sasa nawee?๐น๐น๐น Nacheka kama mazuri..!!
Kweli umenoga uduguu wangu..!!Uduguu sifa sasa, mie naenda zangu kwenye nyuzi za siasa, nikakwaruane na machawa wa veggies.
Nataka nikuone.Wee nae uwe unakunywa hata uji, asubuhi yote hii unafanya nini huku? ๐น
๐๐๐ uji saa 3 hii? Sahivi si ni chai jamanii.Wee nae uwe unakunywa hata uji, asubuhi yote hii unafanya nini huku? ๐น
Kweli wewe kisu mengine mashupaza ๐น๐นAaah wapiii, ๐๐๐