Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,881
- 236,320
Yaani nkamu uwe unapitapita kunikumbusha.Huwa nikikukumbuka nacheka sana😍😂😂
Selfika kamguu utupe hasira ya kuvaa socks
Last time umeselfika, nilivaa socks na karatasi wiki 2 miguu ikawa mizuri.🥰
Nikaacha🤣🤣🤣🤣,nimejaza socks nyingi hadi wananiomba nagawa,ila kuvaa Sasa sijui hata ilikuwaje nikaacha,,
Naridhika mapema 😹💔
Leo tena imebidi nianze kuvaa😹😹😹😹😹 sitaacha tena .