Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,465
- 93,273
Trako tena! Umeliona wapi hata sijageuka vizuriš¤Na ni pisi kweli mwenye trakoo la kwendaa
Trako tena! Umeliona wapi hata sijageuka vizuriš¤Na ni pisi kweli mwenye trakoo la kwendaa
Ukitaka nakuweka kwemye list maisha yanasonga.Nshachelewa daaah š
Tule tubaridi twa elnino na kutafuna mapaja ya kuku ni same sameRaha yako kusikia tumeenda na maji sioš„²
Mimi nishakugeuza kitambo kupitia imagination yanguTrako tena! Umeliona wapi hata sijageuka vizuriš¤
Mnapata wapi kuku wa kutafuna? Maana sio kwa haya ma broiler!Tule tubaridi twa elnino na kutafuna mapaja ya kuku ni same same
Hivi unawezaje??š¤Mimi nishakugeuza kitambo kupitia imagination yangu
Nimekula mambo yetu yaleššššHukomi tuš¤£
Nisije kubebwa mie kupelekwa ostabei kituoniššUnaogopaje sasaš henu weka vitruuzz
Baby qute. šš
Elewa neno "mapaja" huyo kuku ni kibwagizoMnapata wapi kuku wa kutafuna? Maana sio kwa haya ma broiler!
Yaan sahivi nina mustachii, udevu una undindi, Sheikh kabisaa wa kutoka muscat, oman..Bro kwema?
Hebu weka tena hio picha, utakuta una ndevu hadi mapele ila unafurahi sana kuitwa pisi kali... dah hii dunia hii...
Halafu kila mara nakuomba unazinguaš„²Nimekula mambo yetu yalešššš
Hakuna kitu kama iko banašNisije kubebwa mie kupelekwa ostabei kituonišš
Anza kwa mifano hebuUzi una story huu kuliko kusudio, porojoo nyingii
Utaziweza šššHalafu kila mara nakuomba unazinguaš„²
Wengine tumeokoka baba, mambo ya kujiongeza hivi hatuvijuiš¤¦š½āāļøElewa neno "mapaja" huyo kuku ni kibwagizo