Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nna jipya basi sura imenigomea filter nikipost kavu kavu utaweweseka usiku bure..!! 😹😹

Wewe nifanyie jambo hapa nione hips 😻
Mi hilo shepu lako tu linanimaliza. Mtoto Kama umeshushwa..!! 😍😍
Si umeona Nishatupia tambi langu hapo lakini????
Weee masta ujue najua huogopi do the needful nakuaminiaa!
 
Leo unaniangusha sijui kwanini. ! Vitunguu sijui asali niliacha weehhh nilikua nikitumia nahisi njaa nusura kuzima aaarghhh!!
Nimezoea tukiwa wawili tu bwana wee😂

Mimi ndio siwezi sana sana nimepunguza ulafi na beer tu
 
Si umeona Nishatupia tambi langu hapo lakini????
Weee masta ujue najua huogopi do the needful nakuaminiaa!
😹😹😹😹
Ole wako sasa unicheke
1789648969348.png
 
Back
Top Bottom