Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee akili zako mbili kasoro ujue hahah.. Nimecheka kama chizi!

Tupia nyingine nione wig og n classic basiiii mbona unaniangusha udugu ako na nilivohamu mimii!!
😹😹😹😹 Wig og nitoe wapi nna mikatani yangu hiyo hiyo ya Pony tail..!!
 
Yani unaswim na Tshirt kweli? 😹😹

Sasa hivi body inaanza kuja kuja 😻😻
Kazana na zoezi kijana, sema hiyo sehemu usiende tena kuna watoto wengi mtawatisha na mikia yenu mkiibuka ghafla na vipensi vyenu
Watoto sio wengi saaana ila weeknd ndio wana jazana kibao noma sana 😁😄😄😄
 
Shepu unalo na chenchi inarudi..!! 😍

Mi nimekubless umenicheka sa nifanyeje? 😹😹
Kwaile picha hapana hapana nimeandamana! Yule sio weyee wee ni mzurii afu mkareee sio Yule ameweka vigodoro sijui
 
Weee mbona hupiti mfyuuuu!! jioni yangu inaenda kuwa mbaya sababu sijaona vitu classic kishepu potrabo matratra sana na ile rangi yamtume mashallaaahhh!
😹😹😹 Mi leo nipo kutazama neema za Allah

Uduguu ujue pics zako zinatetemesha uzi huu em tupia vile vitru vyako bana..!! 😍
 
😹😹😹 Mi leo nipo kutazama neema za Allah

Uduguu ujue pics zako zinatetemesha uzi huu em tupia vile vitru vyako bana..!! 😍
Nishatupia hapo juu na saii bado ipo! Nasubiri unibles udugu fanya mambo kwa kuchat na picha nimemiss high heels siku unifundishe kuvaa high heels unitoe ushamba uduguu ako!
 
Back
Top Bottom