Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sababu yahuu uzi. Zitapigwa pin zitafutwa nyuzi kibaooo ila selfika hata ipigweje pin lazima ifunguliwe. Ishafutwa nakufungwa several times badae uzi unarudishwa who are you?
b5887f3b-58db-47ce-9d8d-09f911c4719b.jpeg
 
Sababu yahuu uzi. Zitapigwa pin zitafutwa nyuzi kibaooo na hazifunguliwi wala kurudishwa ila selfika hata ipigweje pin lazima ifunguliwe. Ishafutwa nakufungwa several times badae uzi unarudishwa who are you?
Katika nyuzi ambazo zimepitia vipindi vingi vigumu Selfika inaongoza 😀 haina mpinzani🙌🏿
 
Au gauni limepepea na upepo?maaana sio kweli kama hicho chote ni kitambi bingwa wetu wa selfika
Leo umepita pandeiii karibu sana nafurahi kukuona tena.
Hapo nilikua nimekaa kwenye kiti kichwa kimeegemea nyuma ya kiti automatic lazima tumbo lisogee nakujitokeza mbele ndomana.
 
Leo umepita pandeiii karibu sana nafurahi kukuona tena.
Hapo nilikua nimekaa kwenye kitu kichwa kimeegemea nyuma ya kiti automatic lazima tumbo lisogee nakujitokeza mbele ndomana.
Hapo sawa...
Nimekuja kuwasabahi....naona uzi haujawahi kuchuja huu...
 
Back
Top Bottom