Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mtu aliwahi kusema siku wanawake tukiamua kuchoka kujibishana nao kuhusu mambo ya kijinga labda na wao ndiyo watatulia,, kama siyo Noelia basi Hannah hawa nao sijui wamepotelea wapi jamani daah I miss 'em days tulivyokuwa tunaungana kuwachachafya hadi tunawatoa mapovu wanabaki kututukana matusi ya nguoni tu..

Tumechoka, hawajui tu madhara ya sisi kuchoka.
Na hivyo wanapenda attention, tukichoka watafurahi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Na hiyo ndio shida yao, sijui kwanini wanakimbiliaga matusi mazito mazito

Sijui tunakosea wapi kwenye malezi ya hawa watoto wetu wa kiume walah!!!
 
Eeeehhh
Maisha yanaenda kasi sana jamani
 
kumbe tunahangaika kujibishana na wanawake wenzetu?? Woii halafu katika hayo mabishano siku jaribu kumuambia mmoja wao acha umama au acha mambo ya kike uone hayo matusi utakayoyakoga,, yaani hadi utasahau njia na mimi mtu akishaanza kunijibu hoja kwa matusi huwa ananichefua na kunipandisha hasira kabisaaaaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…