Pole sana hiyo ni challenge ya 80s unajitengenezea mwenyewe!Yani mchana kweupe🤣🤣
Afadhali! nifanyiwe delivery muda huu🤸🏽♂️Unapata na chenchi inabaki
Nitengenezeee au lazima capcutPole sana hiyo ni challenge ya 80s unajitengenezea mwenyewe!
Huyu mshana anakuaga na picha zote🤣mpk za delivery
Mimi sijatengeneza ila whatsap status says it all, kila mmoja ametengeneza na nguo ndio zilezile😂Nitengenezeee au lazima capcut
Ukitaka hata zako anakuwa nazo🙌🏾Huyu mshana anakuaga na picha zote🤣mpk za delivery
Ngoja wafue hayo makoti ntavaa wa mwisho😂Mimi sijatengeneza ila whatsap status says it all, kila mmoja ametengeneza na nguo ndio zilezile😂
😅inaweza kuwa kweli afu selfika basi mammy I miss youUkitaka hata zako anakuwa nazo🙌🏾
Nipe hiyo kazi😃Nitengenezeee au lazima capcut
Tuone uliyojitengenezea 🤗Nipe hiyo kazi😃
Umeenda wap tena😃Tuone uliyojitengenezea 🤗
Unatania sio? Wewe hujawahi hata kuselfika! Huko kunimiss means unachungulia kimyakimya kama wengine!😂😅inaweza kuwa kweli afu selfika basi mammy I miss you
Mi nimeona😎Umeenda wap tena😃
ChukuaMaliza unisambazie na mimi hilo koti la avatar 🤣🤣🤣
Wakongwe wa jukwaa😃😃Mi nimeona😎
Nipo mkuuUmeenda wap tena😃
Ila tuliselfikaga kitambo ndo nilikuuchungulia😆Unatania sio? Wewe hujawahi hata kuselfika! Huko kunimiss means unachungulia kimyakimya kama wengine!😂