Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na katoto kamoja ka kike, ambako ndio amani yangu ja furaha yangu na mboninya jicho langu na ndio mlinzi wangu na nina hisi ndio nimeishamaliza mchezo. Mpole sana na mda wote huwa ana wish niwe nae karibu . Hao watoto wa kiume tumewaachia nyie aisee 😅😅
Unakiuka andiko la bwana, zaeni mkaongezeke… mkaijaze nchi.
 
Back
Top Bottom