Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asalaleeee vitu vya nguvu hivi, sijawahi kuonja hata.
Udogoni unasikia firigisi ni za mzee baba, kuzikula hadi uvizie uibe then uache home kila mtu kwenye sintofahamu nani kala firigisi za mzee.. unaweka home kwenye kuanza fanya investigation. Tunamalizia weekend wengine hatuwezi kunywa nje ya nyumbani aisee..
 
nani yupo macho tuselfike saii wengine wakiwa wamelala
1785239170882.jpg
 
Back
Top Bottom