mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,587
- 80,331
Hamna bwana ujue asubuhi nilienda kanisani😅 Tukafundishwa tuwe na roho nzuri.ni kweli Mallerina mshamba kakuelewa😆 yani Neno moja tu kakusikiliza
Hamna bwana ujue asubuhi nilienda kanisani😅 Tukafundishwa tuwe na roho nzuri.ni kweli Mallerina mshamba kakuelewa😆 yani Neno moja tu kakusikiliza
tupo kipenzi💃
Afu ww🤣eeh ngoja nisogee pembeni,, utanisimulia basi 😆
Hahahaha 🤣eeh ngoja nisogee pembeni,, utanisimulia basi 😆
eee na mimi naona😆😆Hamna bwana ujue asubuhi nilienda kanisani😅 Tukafundishwa tuwe na roho nzuri.
Bila shaka.Jaribu kwangu
Wahi nakusubiriBila shaka.
nimefanya nini tena jamni😆Afu ww🤣
Tupoooo, kesho usinililie kuwa unashindwa kuamka kwenda kazini.
Aisee ulijuaje au we mchawi...Kwangu atanibless😍😂
wow mcute mcute😍
Kama wewe
dada ake shes umekua mkali hautaki hata tupewe ka picha😢Tupoooo, kesho usinililie kuwa unashindwa kuamka kwenda kazini.
We kesha, kesho nisisikie mideko.
🤣🤣hamna nimebahatika tu ukatumaAisee ulijuaje au we mchawi...
Ustadhat na kaumwanya chake.
Hii kidogo inipite nlikuwa nimezubaaa
ninge kusimulia☺️Hii kidogo inipite nlikuwa nimezubaaa