Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwahiyo sisi tusio nalo mnatutenga aisee nmechoka kubaguliwa mtaani na humu tena!🤦🏽‍♀️
Ushaambiwa sura hata mbuzi anayo.

Ningekua karibu yako ningekupa kelb mmoja ili uzinduke.

Sema selfika mashallah. Hongera zao vitu vipo bana vimetofautiana size tu
 
Back
Top Bottom