binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,605
- 42,671
Mashallah tena hiyo nguo imeficha shape lako lile hatari ❤️
Mashallah tena hiyo nguo imeficha shape lako lile hatari ❤️
Sawa nimekupata.Seran, sasa kusambaza picha ya mtu sio vizuri. Nitashitakiwa. 😊
Ndio nakumbuka picha zake za zamani , ana bonge la figa.Kwa huu muonekano wa mbele, anaonekana ana mshepu wa hatari huyu bibie!
Ndio tunazozitaka hebu jiachie kijana!😅😂 mje mniweke kikao na sura ya bibi
Sawa nimekupata.
Ndio nakumbuka picha zake za zamani , ana bonge la figa.
Nilishaweka jana hapa mpaka mwezi ujao😎Sasa ukiweka picha yako nitag! Nikuone
yah! wikende kama hivi na familia saafii, mnapiga kitu mna dumbwikiana kusubiri jumatatu 😅😅Naona wikiend imeanza mzee wa doria mtandaoni.
Hapana camera tu inanijaza mkuu!Kweli, kwa hiyo shepu ya mbele, inaonekana kuna bonge la mfiga.
Wewe ndo huyu kwa picha?????!!!!
Ndiyo madamWewe ndo huyu kwa picha?????!!!!
Hahaha ndio unaweka bango kuubwaa la beer! Hebu liondoe basii😃
Hebu weka picha direct toka kwa gallery isiwe ya WhatsApp tuone!Ndiyo madam
Usipate shida hiyo profile pic ni yeyeKwa huu muonekano wa mbele, anaonekana ana mshepu wa hatari huyu bibie!
Hapana avatar sio mie mamchu! Afu mi hata sina shepu mjue nashangaa nikipiga camera inanitoaje sijui!!Usipate shida hiyo profile pic ni yeye
Hahaha
cc smartHapana camera tu inanijaza mkuu!
Unajishaua eehHapana avatar sio mie mamchu! Afu mi hata sina shepu mjue nashangaa nikipiga camera inanitoaje sijui!!