Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,454
- 42,614
HahahaKila kitu classic!! Mahondaw fluty tummy nawe umeiona!! mtumishi anabalaa huyu
Nijaze tu Nivimbe
HahahaKila kitu classic!! Mahondaw fluty tummy nawe umeiona!! mtumishi anabalaa huyu
Pole mlichelewa snMbona sasa hatupii picha zao tuwaone Natafuta Ajira
Ushaanza unafki😁Kumbe kuna mambo mazuri namna hii huku! 😊
Ulichelewa mahiSelfikeni basi mnapiga tu story
Haipo tena hiyo user name
Mnameza vitunguu saumu bila kula, fanya jaribio dogo tu then utatuletea mrejesho, ponda kitunguu saumu weka juu ya ngozi baada ya dakika 15 utatuletea majibu sote.Christine_1 Seran jana nilianza zoezi sema vinaleta njaa balaa sijui ndo katika kutibu loh!!
Jana Asubuhi saa 1 nilikunywa kikombe cha majimoto niliweka asali si nikaunga nakumeza vitunguu saumu weeehhh saa mbili tu nilisikia njaaa kama sijala mwaka mzima . Ilikuwa njaaaa kali sana plus kichwa kiliumaaa hadi kizunguzungu.. Pembeni kulikua na kaduka nikanunua andazi nakuanza kula huku natembea barabarani 👐👐👐
Tupia tena bibie tufurahishe machoUlichelewa mahi
Watu jana tulipita bila emoji 🤪 😎 🤣
Kumbe niwewe, why umechange sasaHaipo tena hiyo user name
Hahaha
irudiweUlichelewa mahi
Watu jana tulipita bila emoji 🤪 😎 🤣
Nakaziairudiwe
AminaNakazia
Hii ndo user name yangu since naingia jf nimeirudisha....Kumbe niwewe, why umechange sasa
No ni asbh sanaTupia tena bibie tufurahishe macho
Not nowirudiwe
Doh! 😩Not now
Hahaa