Umeanza kutia huruma😄Lakini si ulipewa babu, wacha namie nione😁
We muache tu!Sahiz unamcheka
Nioneeni huruma mwenzenu 😓Umeanza kutia huruma😄
Aje tu akuwekee, sio kwa unyonge huoNioneeni huruma mwenzenu 😓
Hivi unakosaji vitu kama ivo seran; nani kikupicture uko mwaka wa mbele kabisaWacha akafie mbele huko kama anatulizwa kwa shanga sishangai akiibiwa kishamba😂
Kabisaa😓Aje tu akuwekee, sio kwa unyonge huo
Wala mzee mwenzio mi old school😁Hivi unakosaji vitu kama ivo seran; nani kikupicture uko mwaka wa mbele kabisa
Umeshuka na vina kuonyesha msisitizoWacha akafie mbele huko kama anatulizwa kwa shanga sishangai akiibiwa kishamba😂
Kabisaa!!😂👌🏽Umeshuka na vina kuonyesha msisitizo
Nimeloose hapo ndo current situationNimeona ma mchungaa umewaka sana😍
Ngoja tu december siendi vacation hivi🥹Nimeloose hapo ndo current situation
Alamsiki
Ulale salama😂Mpaka sasa sijasafisha macho