Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,248
- 42,062
Na sshv una ngapiii??
Na sshv una ngapiii??
Wa kienyeji kabisa.Ni huzuni kwakweli
Na ww unaamini mkuu ?
78😓Na sshv una ngapiii??
Hahaa ya kitambo ileKwa picha ile yenye umesimama, huhitaji kontena ata.
Duh nimecheka snWa kienyeji kabisa.
NIlivyochambua comments za wadau
Uko matata sanaa🔥🔥🔥Nishamaliza, ole wako🫵🏾
Haya tuondolee hizo 10 binti sayunj
Sikuhizi mitindo yenu ya kusuka si hua mnasuka ndefu mpaka mgongoni.Ukinichapa mgongo bahati mbaya🤔
Mambo ya aibu, miaka miwili tayari kilo 10 zimezidi🤦🏽♀️Haya tuondolee hizo 10 binti sayunj
Uzivute halafu? HahahaaSikuhizi mitindo yenu ya kusuka si hua mnasuka ndefu mpaka mgongoni.
Option zinaongezeka ushike mikono au uzivute nywele
Ni lizuri ehh?Uko matata sanaa🔥🔥🔥
Sio ukweli! Huku selfika hujapajua tu, yani hakuna anayepondewa humu😂Ni lizuri ehh?
Mi nilijua tu
Hutaki vutwa vaa zile wanazotembezaga masai.Uzivute halafu? Hahahaa
Siweki hayo matakataka kichwani kwangu😂Hutaki vutwa vaa zile wanazotembezaga masai.
Kwanza umeleta ya 2002Kwendraa!
Bado zamu yako😁
Pisi ya kwendaaNi lizuri ehh?
Mi nilijua tu
Siwezi kufanya hilo jambo😅Kwanza umeleta ya 2002
Me ngoja nisiwe na hiyana
Kwaiyo Kuna mda wanapakana mafuta kwa mgongo wa nyuma.Sio ukweli! Huku selfika hujapajua tu, yani hakuna anayepondewa humu😂
Yo still good, japo hujatupa ya recent uliyosimamaHahaa ya kitambo ile