Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,723
Naked anamaanisha kupita Na picha yako bila kuficha...Itakuwa ni kweli kuna jamaa aliwahi kuniambia "JF unatafuta nini zaidi ya porn" sikumwelewa , huenda alikutana na uzi kama huo😄.
P@rn unazungumzia Jukwaa la wakubwa lilishagungwa muda mrefu sasa😃