adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,787
- 37,796
Braza unacheza kama Bruno halafu Mimi Mbeumo 😂 🤣Kila la kheri msomi ukikosa utaniambia nikupe msaada😃
Braza unacheza kama Bruno halafu Mimi Mbeumo 😂 🤣Kila la kheri msomi ukikosa utaniambia nikupe msaada😃
Nimeusahau heading yake ila picha ya kwanza ya buji naikumbuka kichwan😃aliyopostJamani si mnotagi🙄
Haters baba hatupumui, achieni zenu nyie msio na nyota za kunguni🤣Ule uzi ulikuwa Vibe aibu utaona wewe watu wanapiga live naked , nashangaa humu mnaogopa mkipost hampost naked halafu mnafuta mara kwa mara kila nikija nakuta peupe 🤣 😂
Duhh mgeziacha tu wageni tujionee vya kuona🙌🏾Ngoja niSeti mitambo niusake ila nadhani watu wengi watakuwa washafuta picha zao mule kama Mimi nilivyofuta .
😃😃😃 Mwanangu sana weweBraza unacheza kama Bruno halafu Mimi Mbeumo 😂 🤣
Msaada wa kuniunganisha na tooto🫢Kila la kheri msomi ukikosa utaniambia nikupe msaada😃
Zote za Adriz hapo juu hajafika vigezo vyako mkuu??😃Msaada wa kuniunganisha na tooto🫢
Behaviorist , Mzee wa makebo hana mpinzani kwenye sekta hiyo hapo sasa kapotea sana Jf .Sijawai kuwepo mkuu huko😃😃
Ila behaviorist alikuwa ana story za huko kila siku anazileta Selfika sijui kaenda wap huyu jamaa
Sasa si ndio nalinganisha nijichukulie kamoja mzee🤷🏽♀️Zote za Adriz hapo juu hajafika vigezo vyako mkuu??😃
Aah pita nae kwanza biashara ikifeli nipo hapa kukuletea mwingine nina vijana elfu 30 kama Sheikh mwaipopo😃Sasa si ndio nalinganisha nijichukulie kamoja mzee🤷🏽♀️
Kitengo cha kusagia Kunguni na kuchochea moto unakiendeleza angekuwa Bill The Don na Mr Kiwembe ningekimbia humu 🤣😆😃😃😃 Mwanangu sana wewe
Dah acha tuu kaka wakivalia njugu hutoboi😃Kitengo cha kusagia Kunguninna kuchochea moto unakiendeleza angekuwa Bill The Don na Mr Kiwembe ningekimbia humu 🤣😆
Bill The Don aliwahi kunitishia kuwa nikimpinga Malkia wake kwenye Uzi Korean ataanza kunisagia Kunguni kwa (______) ikabidi nikubaki kuwa chawa wa Bill The Don ndio maana makaona nasapoti Malkia wake mpya Baby D kipindi kile kule Korean .
Ile timu naiogopa waliwahi kukusakizia Couple humu mpaka ikawa kama kweli vile bila utata 😂 😆
Nakubali IT , ngoja na Mimi niupitie tena naona umeenda kuufufua kabisa ila nahisi sasa Wadau wengi watakuwa washafuta picha zao maana jamaa ilikuwa kama alituroga hivi 😂Uzi si ni huu apa
Swala la kufukua makaburi humu mnipe heshima yangu
- Bujibuji Simba Nyamaume
![]()
- halisi picha tukutane
- Replies: 2,777
- Forum: Jamii Photos
Basi angalia the best unigaie mmoja! Sitaki majaribio😎Aah pita nae kwanza biashara ikifeli nipo hapa kukuletea mwingine nina vijana elfu 30 kama Sheikh mwaipopo😃
😃Aah nipe details fullBasi angalia the best unigaie mmoja! Sitaki majaribio😎
Yule Sheikh comedy kweli eti vijana wanatembea kilometa .......😂 😆 😆Aah pita nae kwanza biashara ikifeli nipo hapa kukuletea mwingine nina vijana elfu 30 kama Sheikh mwaipopo😃
Niangalizie tu atakayefaa kwa matumizi si unajua vigezo vya dogodogo mkuu😁😃Aah nipe details full
Huu uzi naujua sasa hivi Amani hakuna Haters na majungu , kumepoa hakuna vita .Ulivyoanza huu uzi nilikuwa nauchukulia poa sababu niliona kama kijiwe cha Amani na kupiga stori tu na kuchangamshanaHaters baba hatupumui, achieni zenu nyie msio na nyota za kunguni🤣
Duhh mgeziacha tu wageni tujionee vya kuona🙌🏾
Kaka acha tuu🤣🤣🤣 yan siku naangalia anavyojinasibu nilicheka sanaYule Sheikh comedy kweli eti vijana wanatembea kilometa .......😂 😆 😆
Mammae hii ichi 😂 😆 🤣🤣 mtu anajitangazia kumiliki kundi hadharani halafu mamlaka zinamchekea . Zile clip zake nacheka sana ile confidence yake
Limeisha hiloNiangalizie tu atakayefaa kwa matumizi si unajua vigezo vya dogodogo mkuu😁