Huu uzi naujua sasa hivi Amani hakuna Haters na majungu , kumepoa hakuna vita .Ulivyoanza huu uzi nilikuwa nauchukulia poa sababu niliona kama kijiwe cha Amani na kupiga stori tu na kuchangamshana
Kuna mwaka kabla ya wewe kujiunga nikasema ngoja nichungulie nikakuta vita sio poa , kubwa sijawahi kuona Jf ikihusisha makundi kibao na machawa . Ikafika hatua mpaka watu kupeana vitisho vikali na kutoleana mambo ya faragha . Nilibakaki pembeni nashuhudia mtanange bila kuchangia chochote na nikajifunza mengi sana pamoja na unafiki wa watu humu na tabia za members wengi.
Vita vya pili siku ishuhudia niliikutia mwishoni niliona na wewe unakiwasha humu 😂 😆
Sasa Kuna Amani hakuna majungu , vita wala haters ndio maana kwa mara ya kwanza nimekuwa active humu coz naona mazingira tulivu