Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,874
- 147,340
Daah,wewe huyo😁Basi hata ukucha warda mwenye shepu lake, na kasura ka upole.
Tulia.
Daah,wewe huyo😁Basi hata ukucha warda mwenye shepu lake, na kasura ka upole.
Toka kitambo Kaka nilipo Mimi basi hiko kibegi kipo , Razorblade anaita anatumia Babu mpaka mjukuu 😂Kibeg cha maamuzi magumu
Mwanaharakati wa mkoa 😃
Kiatu niligawa zamani sana sasa nina Kobaz tu , mpaka mchongo ninausikikizia ukitiki ndio nitarudi tena kwenye ulimwengu wa raba na viatu😆Hapo sawa nimeamini,kweli yule ni wewe! Vipi sa unaonaje ukanipa hako ka kiatu nimekaelewa😉
😃😃😃Siku tutakuja tuliibe😃Toka kitambo Kaka nilipo Mimi basi hiko kibegi kipo , Razorblade anaita anatumia Babu mpaka mjukuu 😂
😃😃Happ unajiaanda na. pindi la A level2018 baada ya kumaliza form 4 , nipo Maghetoni kwa mwanangu nampigisha pindi
Sawa mwanangu sana kobaz🫡Kiatu niligawa zamani sana sasa nina Kobaz tu , mpaka mchongo ninausikikizia ukitiki ndio nitarudi tena kwenye ulimwengu wa raba na viatu😆
Weka sura basi mimi2018 baada ya kumaliza form 4 , nipo Maghetoni kwa mwanangu nampigisha pindi View attachment 3632065
Hapo ilikuwa msuli kazi kazi kweli😃😃Happ unajiaanda na. pindi la A level
Dah 2022 ulikuwa yanki hivi🫢
Kulikuwa na uzi Jf wa kupita naked , Uzi Maalumu wa kutuma picha halisi humo members wengi waliruka live bila kufuta mpka nikawa siamini muanzisha Uzi alitumia dawa gani ?Kwenye huu uzi bila kuwa mchawi mchawi au element za umbea utaishia kuona text useless. Halafu unatakiwa kuwa mkimya ili usiharibu mipanga ya wanaotaka kupita naked 🙌.
Baasi kuna namna utanifaa😎Ndio hapa nimekua kidogo 2024View attachment 3632075
Hebu fanya nawe upite kuna kitu natafuta!Kwenye huu uzi bila kuwa mchawi mchawi au kuwa na element za umbea utaishia kuona text useless kama hii. Halafu unatakiwa kuwa mkimya ili usiharibu mipango ya wanaotaka kupita naked 🙌.
Hebu nitag huo uzi kwanza..🤭Kulikuwa na uzi Jf wa kupita naked , Uzi Maalumu wa kutuma picha halisi humo members wengi waliruka live bila kufuta mpka nikawa siamini muanzisha Uzi alitumia dawa gani ?
Na Mimi humo niliruka live naked picha mbili , ikapita kama miezi hivi nikapata nikaurudia ule uzi nikafuta picha zangu zote 😂
Baasi kuna namna utanifaa😎
Natafuta dogodogo mkuu, ma ankoz wamenishinda tabia🫣
Si naked hiyo nawe mkuu, kuelewa ni ngumu🤔Itakuwa ni kweli kuna jamaa aliwahi kuniambia "JF unatafuta nini zaidi ya porn" sikumwelewa , huenda alikutana na uzi kama huo😄.
Sio nyuchi actually loh🙄Unataka kuona nyuchi za babu zako wa 2010,2012,2014,2009 !, huogopi laana wewe!
Mkuu tulia basi rudi kwenye kitengo chako waendelee kupita 😔Unataka kuona nyuchi za babu zako wa 2010,2012,2014,2009 !, huogopi laana wewe!