Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila huyu ni ndugu yangu Tresor Mandala .
Jmos hii tukikutana kwenye mazoez kule osteybay nitamuambia asikufokee. Ww ni last born wa Melo.

Alaf shem Seran sio kila siku mabia.
Hebu tenga siku moja ya kutoa sumu kwa mwili 😊😊😊😊
Mbona huwa natenga shem huonagi sumu zangu humu🥴

Jokes, sio kila mara ulewe nyingine unatulia tu bwana! Au unavuta hata weed🥲
 
Ila huyu ni ndugu yangu Tresor Mandala .
Jmos hii tukikutana kwenye mazoez kule osteybay nitamuambia asikufokee. Ww ni last born wa Melo.

Alaf shem Seran sio kila siku mabia.
Hebu tenga siku moja ya kutoa sumu kwa mwili 😊😊😊😊
utakua umenisaidia mnoo,, mchana kanifokea nusu nilie 😂😂😂,,

mi ni last born kwetu sio kwa melo brooo melo anao watu wake
 
Back
Top Bottom