Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,562
Wanategea sana,sijui kwannTumeni izo selfie kabla hangover haijaisha
Wanategea sana,sijui kwannTumeni izo selfie kabla hangover haijaisha
tunakusibiri utupie kwanza😂
Uzi uko trending, ukifungua hamna hata kapicha ka uongo na kweli🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ngoja natupia chaaap.tunakusibiri utupie kwanza😂
ewaaa hay ndo mambo sasa🔥Ngoja natupia chaaap.
kabisaaa😄kumekuchaaa
Mbona mi mkinga mwenzao sina taarifa?Chimbo mpya la wakinga
December nitakukumbusha ulichinje tulipikie pilau na lingine tuliweke kwenye mtori..!! 😹Walai vile kufukuza waif haiwezekani, bora na dudu lenyewe nilichinje, nifanye supu xmass 😂🤣
Nipe handle yako ya X nikutag uone 😹Ngono ni hisia, hujawahi kujiuliza wahadzabe wanaugulia vipi ubooh? Mabubu je?
hisia ina mata kuliko lugha, sasa uchagu na lugha vinaingiliana vipi. Anaesema wabongo wachafu ye anabandua kina nani?
😍😍😍Lamomy nipo njiani nakuja Dar mchawi foleni View attachment 3604251
astaghfirullah, tutakua hatutumi picha sasa 😁😍😍😍
Wewe mkaka una balaa 🔥🔥
Libarikiwe tumbo lililokuzaa, huyo mama bila shaka mrembo sana..!!
Aaaahhh vitu zangu hizi kabisaa..!!
Muhansham karibu sana Dar nikusubiri Airport au Mbezi? Mkaka km wewe hutakiwi kufika Dar bila kupokelewa mabegi yako..!! 😻😻
Shetani em nihurumie basi.!!
Fine wine 💋
Weeh!! Naomba uwe unatuma km dozi 3x3 na uwe unanitag nikuone mkaka mzuri..!! 😍astaghfirullah, tutakua hatutumi picha sasa 😁
we jiandae tu kunifanyia delivery japo sijui unawinga nini ila takuungisha tu
😍😍😍
Wewe mkaka una balaa 🔥🔥
Libarikiwe tumbo lililokuzaa, huyo mama bila shaka mrembo sana..!!
Aaaahhh vitu zangu hizi kabisaa..!!
Muhansham karibu sana Dar nikusubiri Airport au Mbezi? Mkaka km wewe hutakiwi kufika Dar bila kupokelewa mabegi yako..!! 😻😻
Shetani em nihurumie basi.!!
Fine wine 💋
NakuonaLamomy nipo njiani nakuja Dar mchawi foleni View attachment 3604251
😹😹 Mkaka mzuri huyo wa mwaka wa mbele no E kabisaaa..!!Ktk ubora wako🤣🤣