win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,806
- 29,862
wacha tu tukuone mganga mwenye uzi wako hapa town kwani unawogopa?😅😅😅Dah jamaa kaamua kukaza
wacha tu tukuone mganga mwenye uzi wako hapa town kwani unawogopa?😅😅😅Dah jamaa kaamua kukaza
anamaanisha ufute ile replay ulomquote na picha yake itatokaHahahaha,yaani utumie wewe nifute Mimi ?
Hataki Tena kuselfika? Hahahaha,anamaanisha ufute ile replay ulomquote na picha yake itatoka
anataka ila hataki kubaki mazima,, ndo maana kaomba ufuteHataki Tena kuselfika? Hahahaha,
Mwenye Uzi katoa MFANO , wengine mfuatewacha tu tukuone mganga mwenye uzi wako hapa town kwani unawogopa?😅😅😅
Hahahahaanataka ila hataki kubaki mazima,, ndo maana kaomba ufute
hebu tuone mfano wakoMwenye Uzi katoa MFANO , wengine mfuate
Hahahaha, Mimi? Labda ijitumehebu tuone mfano wako
sasa kama we hauwezi kwanini unataka wenzio watume?Hahahaha, Mimi? Labda ijitume
👍Ujifuta
Kwangu imetoka ukifuta reply yako nitashukuru💪🏿🙏🏿
Ujue humu unatuma mwenyewe hakulazimishi MTUsasa kama we hauwezi kwanini unataka wenzio watume?
najuaUjue humu unatuma mwenyewe hakulazimishi MTU
Sekfika at own risk, Mambo vipi Rafiki,najua
ofcourse yes,, Safi kabisa rafiki sijui wewSekfika at own risk, Mambo vipi Rafiki,
NB : Next sifuti kitu
Hahahahaha ,mie niko Poa kabisaofcourse yes,, Safi kabisa rafiki sijui wew
NB: kama ni yangu utaifuta tu
PamojaThanks brother 💪🏿
Kumbe huwa unaselfika kimya kimyaofcourse yes,, Safi kabisa rafiki sijui wew
NB: kama ni yangu utaifuta tu
huwa nakuita ila hautokei jamaniKumbe huwa unaselfika kimya kimya