makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,510
- 108,671
Hili la kuwa pekee yako, lishakuwa gumu, huyu hapa siku namuoa nilimhimbia ule wimbo wa mzee yusuf nitadumu nae kwa nguvu za mananiMi simtaki nataka niwe peke yangu 😹
Hivi maka kwenye mapenzi huwa unapenda mwanamke akilia kwa kinge au kimatumbi? 😹
Hili swali kuna sehemu nililikuta nikasema nitamuuliza kungwi dume..!!
Tiririika
Unapewa sehemu ya kubonyeza unataka kutoboa bibi..
Lifti ya kupewa unataka na kupiga honi 😂🤣